🍇UHUSIANO KATI YA VIDONDA VYA TUMBO NA NGUVU ZA KIUME🍇
_Na Dr Peter_ ⚡Wanaume wengi wanaougua vidonda vya tumbo kwa muda mrefu hutokewa pia kuwa na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume. Kwahiyo ikiwa mwanaume una tatizo la kushindwa kuhimili tendo la ndoa na unaumwa vidonda vya tumbo, basi cha kwanza utatakiwa ujitibu vidonda vya tumbo. Hili linakuwa kweli hasa tukiziangalia baadhi ya dalili za vidonda vya tumbo kama zifuatazo; Baadhi ya dalili za vidonda vya tumbo zinazopelekea pia upungufu wa nguvu za kiume ni pamoja na zifuatazo: 👉1. Kuchoka choka sana bila sababu maalum 👉2. Kuumwa mgongo au kiuno 👉3. Kizunguzungu 👉4. Kukosa usingizi 👉5. Kiungulia 👉6. Tumbo kujaa gesi 👉7. Tumbo kuwaka moto 👉8. Maumivu makali sehemu kilipo kidonda 👉9. Kukosa choo au kupata choo kwa shida tena kikiwa kigumu na chenye kukatika kama cha mbuzi 👉10. Kusahahu sahau na 👉11. Hasira bila sababu. Dalili au matatizo yote hayo hapo juu yanayompata mgonjwa wa vidonda vya tumbo ndizo ambazo kwa namna nyingine kama matokeo yake zinapelekea tatizo...