IFAHAMU KOMBUCHA
🌿 Eden Herbal & HealthCare Clinic🌿
Kombucha ni Chai tamu sana inayosindikwa kwa kutumia uyoga wa asili unaojulikana kama SCOBY. Kombucha imeanza kutengenezwa tangu zamani sana kwenye miaka ya 221 K.K huko China na ikasambaa kwenye maeneo mengine kama Ulaya, Urusi na Japan. Kombucha imepata umaarufu mkubwa kutokana na uwezo wake wa kutibu magonjwa mbalimbali. Inajulikana kama "chai inayozuia kifo"(Tea of immortality). Baada ya vita vya pili vya dunia madaktari waliitumia kutibu magonjwa mbalimbali. Kombucha imepata umaarufu mkubwa kutokana na uwezo wake wa kutibu magonjwa na matatizo mbalimbali kama ifuatavyo;
🦩Hupunguza uzito mkubwa.
🦩Hutibu tatizo la constipation
🦩Huondoa uvimbe mwilini
🦩Huzuia cancer zote [ina kimeng'enya(antioxidant) kinachoondoa visababishi vya cancer( free radicals)]
🦩Huimarisha mfumo wa kinga wa mwili.
🦩Hutibu matatizo ya moyo.
🦩Husaidia figo kufanya kazi vizuri na husaidia kuondoa sumu mwilini.
🦩Hurekebisha kiwango cha sukari kwa wagonjwa wenye kisukari.
🦩Huondoa uchovu mbaya wa mwili na maumivu makali ya mwili.
🦩Hutibu matatizo mbalimbali ya ngozi kama chunusi.
🦩Huondoa dalili za uzee kama vile makunyanzi(wrinkles).
🦩Hurekebisha pressure ya kupanda.
🦩Hutibu ugonwa wa Sonona(depression)
🦩Hutibu tatizo la kupoteza kumbukumbu.
🦩Hutibu tatizo la allergy(mzio).n.k
Kwa Mahitaji ya Kombucha, wasiliana nasi Eden Herbal & HealthCare tunazalisha na kusambaza kote nchini.
Imeandaliwa na Eden Herbal Clinic.
0745 859 915
0784 467 374
0755 6380 56
Comments
Post a Comment