TATIZO LA PUMU (ASTHMA)
Na _Dr Peter_
Ugonjwa wa pumu ni ugonjwa ambao huathiri sehemu ya kupitisha hewa kwenda kwenye mapafu ya binadamu yaani mirija myembamba ya hewa ijulikanayo kitaalamu kama bronchioles. Mtu mwenye pumu huwa na mcharuko mwili sugu (chronic Inflammation) kwenye mirija yake ya
kupitishia hewa (bronchioles tubes) hali ambayo husababisha kuvimba kwa kuta za mirija hii, kujaa kwa ute mzito (mucus) na kupungua kwa njia ya kupitishia hewa, hali ambayo humfanya muathirika kushindwa kuvuta na kutoa hewa nje na hivyo kupumua kwa shida sana.
Aina za Pumu
Kuna aina kuu mbili za pumu. Aina ya kwanza ni ile inayoanza mapema (early onset asthma) na aina ya pili ni ile inayochelewa kuanza (late onset asthma). Na uyo mtoto anapumu inayo anza mapema
Pumu inayoanza mapema (Early onset Asthma)
Ni kawaaida kwa aina hii ya pumu huanza utotoni na kwa kawaida huwatokea waathirika ambao miili yao hutengeneza kingamwili (antibodies). Ugonjwa wa asthma ambao mara nyingi huwa unaanzia utotoni. Asthma (pumu) inafanya mapafu ya mtoto kutopata hewa ya kutosha, kwa sababu hiyo inamfanya mtoto apateshida ya kupumua na hata kusababisha vifo vingi sana kwa watoto.
Dalili Za Asthma (pumu).
Kukosa kupumua vizuri
Kusikia maumivu kwenye kifua
Kukosa usingizi kwa sababu ugonjwa wa Asthma (pumu) husumbua nyakati za usiku wakati mtoto au mtu akiwa amelala.
Kutoa sauti/ mlio kama wa filimbi au mluzi wakati anapumua
Kuwa na kikohozi
Kupumua haraka haraka
Kuugua pumu kwa muda mrefu hukufanya kuwa katika hatari ya kurithisha tatizo hilo kwa watoto au kizazi chako. Hivyo jitahidi kufanya juu chini ili uondokane na hali hiyo. Tiba ya pumu (athsma) tunayo na wengi tumewatibu tatizo hilo tutafute kwa namba👇🏾
Wasiliana nasi Eden Herbal & HealthCare kwa tiba na ushauri
0769650635
0620723265
Comments
Post a Comment