☘ VIKANGA / SUNZUA (GENITAL WARTS )☘


Na _Dr Peter_

⚡SUNZUA ni ugonjwa wa ngozi unao sababishwa na virusi vya aina ya HUMAN PAPILOMA {{ HPV }} ambapo huota kama vipele au vinyama ambapo mara nying unapo kitumbua ndo huongeza vingine, ila ukitumbua na kupaka dawa hukauka.
 
⚡SUNZUA mara nyingi huota kwenye sehemu za siri haswa sehemu za siri za mbele na pembene mwa uume au uke na hata nyuma ndio sababu ya watu wengi kutopenda kusema kwa kua huona aibu

⚡ni ugonjwa unao weza tokea sehemu nyingine za mwili kama vile
 👉mikononi 
👉usoni  na  
👉mdomoni haswa pembezoni mwa mdomo kwa wale wenye kunyonya sehemu za siri,  

⚡huu ugonjwa husambwazwa kwa kupitia kufanya mapenzi haswa panapo kua na michubuko ndio maana wanawake wengi hupata ugonjwa huu kutokana na maumbile yao kua malaini

MADHARA YA UGONJWA HUU

⚡HPV sio kwamba ni kirusi cha aina moja hapana wako wa aina mia moja 30 kati yao husababisha maradhi ya ngozi kwenye sehemu za siri na vipele KUONEKANA hao ni type 6 na type 11.

70% ya wanao bakia hua ni wale wanao athiri sehemu zingine za mwili kama mkononi usoni na miguuni

ILA HPV ISIYO ONEKANA KWENYE VIUNGO VYA SIRI YAANA VINAVYOOTA NDANI MARA NYINGI HUPELEKEA KANSA YA SHINGO YA KIZAZI NA ATAKAE NYONYA KIUNGO HICHO HUPELEKEA KUPATA KANSA YA KOO

Kwa ushauri na tiba wasiliana nasi Eden Herbal & HealthCare
+255 784467374
+255 755638056
Mwanza

Comments

Popular posts from this blog

⚡FAIDA YA MBEGU ZA MABOGA⚡

ZIJUE FAIDA,MADHARA YA KITUNGUU SWAUMU KATIKA MWILI WA BINADAMU