🌳 JE, NINI HUMFANYA MTU KUWA NA HAMU YA KULA UDONGO? 🌳
Na _Dr Peter_
⚡Kwa kawaida ulaji wa udongo husababishwa na mambo yafuatayo:
👉• Upungufu wa madini ya chuma na zinc mwilini. Hii ni kutokana na lishe duni au kupoteza damu nyingi wakati wa hedhi au upungufu wa madini chuma kutokana ugonjwa wa minyoo na safura.
👉• Unywaji chai yenye majani ya chai au kahawa wakati wa kula huzuia madini ya chuma kufyonzwa au kuharibiwa na kuingia mwilini.
👉• Upungufu wa dawa ya kuyeyusha chakula tumboni (hydrochloric acid) pia husababisha tatizo hili.
🌿 MADHARA YA KULA UDONGO 🌿
Kula udongo na vitu vingine ambavyo si chakula kunaweza kusababisha madhara ya kiafya kama ifuatavyo:
👉• Kwa kuwa udongo unaweza kuwa na sumu za dawa za mimea na mbolea kama vile lead, dioxin na madini mengine yenye hatari yanayopatikana kwenye udongo uliochafuliwa, hivyo inaweza kusababisha matatizo ya kiafya mwilini mwako.
👉• Husababisha mikwaruzo, michubuko na kupata majeraha ya ndani kwenye utumbo.
👉• Ugonjwa wenye homa na maumivu makali unaojulikana kama appendicitis ambao tiba yake ni upasuaji.
👉• Minyoo ya safura
👉• Kukosa choo na tumbo kuuma kwa siku nyingi bila sababu
👉• Bawasiri
👉• Saratani ya utumbo
⚡Kwa kuwa mara nyingi udongo huchafuliwa kwa vinyesi na mikojo ya binadamu, ndege na wanyama kama mbwa nk, basi hali hii husababisha udongo kubeba vimelea vya magonjwa.
⚡Ifuatayo ni namna ya kukabiliana na tatizo hilo:
👉• Kula vyakula vyenye madini chuma na zinc kwa wingi kama vile maharage, korosho, mboga za majani hasa spinach, mayai, nyama, samaki, mbegu za maboga na matunda.
👉• Kutibu minyoo kwa kumeza dawa za minyoo angalau mara moja kwa mwezi.
👉• Kunywa juice ya spinach na karoti bilauli moja kutwa mara tatu kila siku. Kunywa supu ya mbogamboga na mchele.
👉• Usinywe vinywaji vyenye caffeine wakati wa kula chakula.
👉• Safisha misumali kwa maji moto, iloweke kwenye maji ya limao kisha tengeneza juice kwa maji haya na unywe mara kwa mara au pika chakula kwa kutumia sufuria ya chuma.
Kwa ushauri na tiba za maradhi mbalimbali wasiliana nasi Eden Herbal & HealthCare
What's app /call
+255 784 467 374
+255 755 638 056
Mwanza
Comments
Post a Comment