🍀UGONJWA WA GOITA🍀
Na _Dr Peter_
Huu ni ugonjwa wa tezi ya THAIROID ambao hutokea shingoni
🌱CHANZO🌱
👉Upungufu wa madini joto mwilini
👉Lishe duni
👉Kula vyakula vilivyoondolewa uhalisia wake na ambacho hakikupikwa
👉Ulaji kupita kiasi wa vyakula vilivyopitia viwandani na kuondolewa ladha asilia
👉Ukosefu wa madini joto katika chakula
🌴NAMNA YA KUJIKINGA🌴
⚡Tumia chumvi yenye iodine (ayodini) hasa ya baharini
⚡Kula lishe bora
⚡Epuka kula vyakula vilivyopitia viwandani ambavyo si lazima
⚡Tumia vyakula vyenye iodine kama dagaa, maziwa....
🎋VITU VYA KUEPUKA KWA MGONJWA WA GOITA🎋
Chai , kahawa, unga ulokobolewa, sukari nyeupe, ngano nyeupe na vyakula vyenye mafuta.
🌲MATIBABU🌲
💥Kwanza kabisa safisha mfumo wote wa damu.
💥Badili mlo wako na ule mlo wenye virutubisho kamili
💥Tumia mboga za majani zilizochemshwa ama kupikwa bila kuiva sana
Mfano wa mboga ni saladi na ambazo hazijapikwa ni nyanya, kabichi, karoti. ......
💥Matunda ya kula ni zabibu, nanasi, tufah(apple ) na machungwa ..
Kula tunda moja baada ya lingine kwa kupishanisha masaa mawili na nusu kutoka tunda hadi tunda.
Fanya hivyo kwa siku nne hadi sabaa .
KWA TIBA KAMILI YA TATIZO HILO WASILIANA NASI EDEN HERBAL & HEALTHCARE
Kwa ushauri na tiba za magonjwa mbalimbali wasiliana nasi
+255 784 467 374
+255 755 638 056
Mwanza-Tanzania
Comments
Post a Comment