Posts

MWANAMKE KUTOKWA UCHAFU UKENI- CHANZO NA TIBA YAKE

Image
Na _Dr Peter_ Uke wa mwanamke hufanya kazi ya kutoa njia kati ya sehemu ya nje ya mwili na viungo vya uzazi vya ndani vya mwanamke. Hali ya kawaida ya majimaji yaliyomo katika uke wa mwanamke huwa ni ya tindikali ili kuzuia maambukizi ya vijidudu vya kuleta maradhi. Hali hii ya utindikali huletwa na bacteria waishio katika uke wa mwanamke. Bacteria hawa ni wa kawaida na hawana madhara kwa mwili. Uke ulio katika hali nzuri hutoa majimaji haya ili kujisafisha. Majimaji haya yanayotengenezwa katika uke na kwenye eno la cervix hufanya kazi ya kuondoa seli zilizokufa na bacteria waharibifu nje ya mwili na huu ndio uchafu wa kawaida ambao mwanamke hutoa ukeni. Kutoa uchafu huu sehemu za siri ni njia ya kuusafisha uke na kuzuia maambukizi ya magonjwa. Kitu cho chote ambacho kitaharibu uwiano wa utengeneaji wa majimaji haya ndani ya uke kinaweza kujenga mazingira ya maambukizi katika uke. Uchafu Wa Sehemu Za Siri Ulio Wa Kawaida Wanawake wote hutoa uchafu sehemu za siri. Kiwango cha uchafu una...

🍀 TATIZO LA UGUMBA 🍀

Image
Na _Dr Peter_ Tatizo la ugumba linatibika nimeona ni bora nielezee hapa kwa faida ya wote huenda hata wewe au ndugu yako unasumbuliwa na tatizo hili, kwa kifupi tatizo hili ni kubwa sana kwa wanawake na wanaume takriban 30%_40%ya tatizo hili la Ugumba linawakumba wanaume na 40%_50% huwakumba wanawake wakati 10%-30% zilzobak ya tatizo hili husababishwa kwa pamoja na matatzo Kati ya mwanamme na mwanamke,  ⚡ *UNAJUA MAANA YA UGUMBA??* ⚡ Ugumba ni Ile hali ya mwanamme /mwanamke kupoteza uwezo wa kutungisha au kubeba mimba  ⚡hii kwa mwanaume tunasema anashindwa kutungisha mimba ilhal anakutana kimwili na mkewe pasipo kutumia kizuizi na mkewe pia hatumii vizuizi vya mimba, Hali huwa hivi kwa upande wa mwanamke naye huwa anashindwa kubeba mimba ilhal hatumii dawa za Uzazi wa mpango ambapo pia anakutana na mumewe Bila Kinga ila anashindwa kupata ujauzito  ⚡katika familia 5 zinazofanya mapenzi katika wakati muafaka wa OVULATION wakiwa na malengo ya kupata mtoto ni familia moja tu ndiyo inafanik...

⚡FAIDA YA MBEGU ZA MABOGA⚡

Image
*☘️EDEN HERBAL & HEALTHCARE*☘️ Na Dr _Peter_ 👉Ulaji wa maboga ni muhimu lakini ni Watanzania wachache wanaojua faida ya boga na mbegu zake. Mbegu za maboga zimesheheni protini na madini kadhaa kama vile chuma, kopa, maginizia, manganizi na zinki, mbegu za maboga zinakuwa mbegu bora na muhimu kutafuna kila wakati baada ya kuzikaanga au zikiwa mbichi au kama zimepikwa na boga lenyewe kwani imethibitika pasipo na shaka kuwa mbegu za maboga zina faida lukuki kiafya na zina uwezo wa kukuepusha na magonjwa hatari zaidi ya 10.   KIBOFU CHA MKOJO Mbegu za maboga zimekuwa zikitumika kuimarisha afya ya wanaume kutokana na kuwa na kiasi kingi sana cha madini aina ya Zinc ambayo ni muhimu sana kwa afya ya kibofu cha mkojo Urinery Bladder. Mbegu za maboga pamoja na mafuta yake, yote kwa pamoja hutoa kinga kwenye kibofu kupatwa na matatizo ya kiafya, yakiwemo yale ya saratani ya kibofu. Pia hutibu tezi dume ikichanganywa na baadhi ya dawa pamoja na nguvu zakiume.    KI...

🍀 BAWASIRI/HEMORRHOIDS 🍀

Image
⚡Bawasiri ni ugonjwa unaotokea katika njia ya haja kubwa, hujitokeza kama uvimbe au kijinyama ambacho huweza kuonekana hadi nje.  ⚡Kwa kiingereza hujuliakana kama piles. ⚡ Na kitaalam hujulikana kama hemorrhoids AINA ZA BAWASIRI 👉1⃣ BAWASIRI YA NJE Aina hii ya bawasiri hutokea katika eneo la mwisho kabisa la mfereji wa haja kubwa, na huambatana na maumivu, pamoja na kuwashwa kwa ngozi katika eneo hilo. Mara nyingine mishipa hiyo ya damu (vena) hupasuka na damu huganda na kusababisha aina hii ya bawasiri kitaalamu inaitwa Thrombosed hemorrhoid. 👉2⃣BAWASIRI YA NDANI Aina hii ya bawasiri hutokea ndani ya mfereji wa haja kubwa. Na huwa haimbatani na maumivu.  ⚡Aina hii imeainishwa katika mainisho ya madaraja manne yafuatayo: 👉Daraja la 1 - Bawasiri kutotoka katika mahali pake pa kawaida 👉Daraja la 2 - Bawasiri kutoka wakati wa haja kubwa na kurudi yenyewe baada ya haja. 👉Daraja la 3 - Bawasiri kutoka wakati wa haja kubwa na mtu kuweza kuirudisha mwenyewe baada ya haja. 👉Dara...

☘ VIKANGA / SUNZUA (GENITAL WARTS )☘

Image
Na _Dr Peter_ ⚡SUNZUA ni ugonjwa wa ngozi unao sababishwa na virusi vya aina ya HUMAN PAPILOMA {{ HPV }} ambapo huota kama vipele au vinyama ambapo mara nying unapo kitumbua ndo huongeza vingine, ila ukitumbua na kupaka dawa hukauka.   ⚡SUNZUA mara nyingi huota kwenye sehemu za siri haswa sehemu za siri za mbele na pembene mwa uume au uke na hata nyuma ndio sababu ya watu wengi kutopenda kusema kwa kua huona aibu ⚡ni ugonjwa unao weza tokea sehemu nyingine za mwili kama vile  👉mikononi  👉usoni  na   👉mdomoni haswa pembezoni mwa mdomo kwa wale wenye kunyonya sehemu za siri,   ⚡huu ugonjwa husambwazwa kwa kupitia kufanya mapenzi haswa panapo kua na michubuko ndio maana wanawake wengi hupata ugonjwa huu kutokana na maumbile yao kua malaini MADHARA YA UGONJWA HUU ⚡HPV sio kwamba ni kirusi cha aina moja hapana wako wa aina mia moja 30 kati yao husababisha maradhi ya ngozi kwenye sehemu za siri na vipele KUONEKANA hao ni type 6 na type 11. 70% ya w...

FAIDA 17 ZA KUFANYA MAPENZI SALAMA

Image
Na _Dr Peter_ Kujamiana (ama tendo la ndoa) ni moja ya mambo muhimu sana katika maisha ya mwanadamu. Ni ukweli usiofichika kwamba wengi wetu tungependa kuwa na mwenza ambaye mnaridhishana katika tendo la ndoa. Si hivyo tu, bali tendo hili huleta maelewano katika uhusiano wowote ule. Lakini, kuna faida zozote za kiafya za kufanya tendo hili? Ndiyo! Zipo faida kadhaa zinazotokana na kujamiana. Katika makala hii, mwandishi wako Dr. Peter anajaribu kutueleza faida za kujamiiana kiafya. 1. Hulinda mwili dhidi ya magonjwa ya moyo: Wanawake ambao hufika kilele (orgasm) angalau mara mbili kwa wiki kila wanapojamiana, wana uwezekano mdogo sana (30% tu) wa kupata maradhi ya moyo tofauti na wale wasiofikia kilele. Hii ni kwa vile homoni ya endorphin inayotolewa wakati wa kujamiana hupunguza msongo wa mawazo na hivyo kumuepusha mtu na magonjwa ya moyo. Aidha kujamiana angalau mara tatu kwa wiki, husaidia kupunguza uwezekano wa kupata shambulio la moyo (heart attack) na kiharusi. 2. Huo...

🍀UGONJWA WA GOITA🍀

Image
Na _Dr Peter_ Huu ni ugonjwa wa tezi ya THAIROID ambao hutokea shingoni           🌱CHANZO🌱 👉Upungufu wa madini joto mwilini 👉Lishe duni  👉Kula vyakula vilivyoondolewa uhalisia wake na ambacho hakikupikwa 👉Ulaji kupita kiasi wa vyakula vilivyopitia viwandani na kuondolewa ladha asilia  👉Ukosefu wa madini joto katika chakula  🌴NAMNA YA KUJIKINGA🌴 ⚡Tumia chumvi yenye iodine (ayodini) hasa ya baharini  ⚡Kula lishe bora ⚡Epuka kula vyakula vilivyopitia viwandani ambavyo si lazima  ⚡Tumia vyakula vyenye iodine kama dagaa, maziwa....     🎋VITU VYA KUEPUKA KWA MGONJWA WA GOITA🎋 Chai , kahawa, unga ulokobolewa, sukari nyeupe, ngano nyeupe na vyakula vyenye mafuta.          🌲MATIBABU🌲 💥Kwanza kabisa safisha mfumo wote wa damu. 💥Badili mlo wako na ule mlo wenye virutubisho kamili 💥Tumia mboga za majani zilizochemshwa ama kupikwa bila kuiva sana        Mfano wa mboga ...